Nahitaji laptop Mpya kabisa

markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
590
500
Sifa za hiyo laptop ni
1. HDD kuanzia 500GB nakuendelea
2. Processor core i 5 gb 2.5 nakuendelea
3. RAM 4gb na kuendeleza
4. Display 15"
5 iwe na DVD ROM
6.iwe na uwezo wa kusapoti wifi na blootooth
7. Brand iwe Dell au Hp hasa Dell

Bajeti yangu 500,0000 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom