Ipad used inahitajika

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
388
250
Habari zenu wananzengo, kama unauza ipad used iwe na hali nzuri tafadhari waailiana na mtu anahitaji kwa udi na uvumba, iwe na hali nzuri saaaana ikiwa na inatumia line itapendeza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom