Natafuta mashine ya kukamua juice ya miwa

Natafuta mashine ya kukamua juice ya miwa

mwepesi

Senior Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
155
Reaction score
96
Nipo bagamoyo nahitaji mashine hio ili nikabiliane na hali ngum ya maisha.. Mashine iwe used,, na isiwe na tatzo lolote.. Ni PM KAMA UNAYO.. HASWA KWA WAKAZI WA PWAN NA DAR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom