Makato ya facebook ads

Makato ya facebook ads

Joined
Dec 6, 2017
Posts
29
Reaction score
19
Wadau naomba kuhabarishwa malipo ya facebook ads yanakuwaje? Je unaweza kutangaza ukiwa hauna hela? Wanakata pesa kabla ya tangazo au baada ya tangazo?
 
unaweza kuweka ad hata kama huna salio, wao wanacharge mwisho wa siku tangazo au budget ikifika kikomo... na kama kwenye akaunti huna salio, basi hutoweza kueka tangazo jengine mpaka uwalipe
 
unaweza kuweka ad hata kama huna salio, wao wanacharge mwisho wa siku tangazo au budget ikifika kikomo... na kama kwenye akaunti huna salio, basi hutoweza kueka tangazo jengine mpaka uwalipe
Nyongeza, ahakikishe anaweka kikomo, manake anaweza kutana na deni hilo asiamini macho yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom