Mashine ya kutengeneza mifuko (paper bag)

Mashine ya kutengeneza mifuko (paper bag)

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,066
Reaction score
1,146
je wapi nitapata mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi?
Maarufu mifuko ya kaki kuanzia robo kilo, nusu, kilo hadi kilo 2?
Hii inatumika sana madukani na hata kufungia vyakula(take aways)
 
Ingia google search paper bags machines from china!!utapata ziko kibaoo sana
 
Shukrani!
Nilihitaji hapa Dar; Unajua mambo ya China mpaka ku import n.k. itachukua muda na pia uzoefu ni muhimu!
 
Back
Top Bottom