Habari, natafuta mashine (sacket) ya Huawei mate 8. Yeyote aliyenayo ama anayefaham sehem ambayo naweza kuipata naomba tuwasiliane 0717546885. Nipigie ama nitumie msg
NB; Mda mwingi nakuwa sipo online, so ukinipgia au kunitumia msg itakuwa vizuri kunipata kwa wakati
NB; Mda mwingi nakuwa sipo online, so ukinipgia au kunitumia msg itakuwa vizuri kunipata kwa wakati