Genereta linauzwa aina ya elemax tigmax sh7000dxe lenye description zifuatazo
ELEMAX TIGMAX GEN SH7000DXE (5KVA) GENERATOR
Type Self-exciting, 2-pole,field rotating type
Voltage Regulation System...
DVB T2 RECEIVER FULL HD
Support over 240 FREE channels
All local channels included
Support WIFI for Youtube
Support USB Multimedia playback
Support PVR
ANGALIA CHANNEL 240 BURE KABISA BILA MALIPO...
printer za kusafisha passport size picha ( USED )
seti nzima @ laki 500,000
unapata vifuatayo
1: printer
2:adaptor
3: power bank yake
4:toner yake (wino)
5:karatasi zake
6:camera digital 10 pixel...
Habari,wadau nina kazi nzuri ya pesa ya maana.Nahitaji kuongea na kukutana na mtu ambae anashughulika na kuuza mabodi ya magari. Nitafute kwa 0763969066
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):
Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master...
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):
Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master...
Habari wakuu
Kwa wale wenye matumizi makubwa ya Voice na Data bundles nawaletea huduma Ya Tigo business bundles za Postpaid, ambapo kwa sasa utaweza kujiunga kifurushi kulingana na uwezo wako...
Nauza vitalu/PMLs za Madini ya Gypsum kama mchanganuo unavyoonesha hapa chini
Minerals
Types of minerals : Gypsum
Location : Makanga village, kiranjeranje ward, Kilwa district
Status...
Wana JF nimeuanzisha huu uzi makusudi kujua bei ya vifaa mbalimbali ya ujenzi wa nyumba naomba tuwe tunaweka bei ya vifaa tofautitofauti kusudi wanayojenga kwa awamu wajue pa kuanzia
Mod naomba...
Habari wadau, pole na mihangaiko nafikilia kuanzisha biashara ya car wash japo inachangamoto kwani umekuwa nyingi na bei imeshuka ila ntakomaa naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kazi hyo
1...