Tigo Business bundles Postpaid

Abby The Rider

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
444
674
Habari wakuu

Kwa wale wenye matumizi makubwa ya Voice na Data bundles nawaletea huduma Ya Tigo business bundles za Postpaid, ambapo kwa sasa utaweza kujiunga kifurushi kulingana na uwezo wako, Individually (wewe mwenyewe) na Pia Kama Taasisi au Kampuni.
Kama una Taasisi pia tunaweza kuwaunganisha kama organization kweny Business bundles, na kunafaida zake endapo mtajiunga kama Taasisi ikiwa ni pamoja kupewa huduma ya (CUG) closed user group ambapo mtaweza kuwasiliana for free wote mlounganishwa na organization kweny business bundles. Pia kupewa vocha ya jumla ya kias kilichonunuliwa na organization ambayo itawezesha kununulia vifaa kama simu, MiFi na modem kweny maduka ya Tigo.

Tigo business bundles ndo hizo

IMG_20190518_081333.jpg

Kama utahitaji maelezo ya kutosha pia unaweza kutualika tutafanya presentation ya huduma zetu na zingine Tulizo nazo kama Bulk sms, E1(Call center.) Kufungiwa kifaa cha 4G kwa ajili ya computer zako hapo ofisi, na nyinginezo. Karibuni sana

Contact:; WhatsApp 0656913696 / 0776938796 DSA
 
Back
Top Bottom