Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

-samsung inchi 49 inauzwa -imetumika miezi 6 haina tatizo lolote -ina warranty ya miaka miwili -nakupa stand ya ukutani pamoja na TV guard bureee -bei laki nane ( 800,000) -ipo kimara mwisho -...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
mashine ya pop corn inauzwa bei tsh 200,000. maongezi pia yapo kwa picha njoo whatsapp 0758217840 au piga simu 0679025067
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUNAPATIKANA city mall waksam trading China plaza nas mobile Classic mall mbezi beach Nabahan Contact 0715959600/0773959600 Yes we do delivery
2 Reactions
41 Replies
5K Views
UNIVERSITY OFFERS[emoji92] Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni...
6 Reactions
88 Replies
22K Views
Msaada wadau, kwa jiji la Dar wapi nitapata mabalo ya capet za mitumba zile kubwa kwaajili ya biashara niko mkoani huku upatikanaji wake ni shida
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hp screen inauzwa kigoma mjini, imetumika kwa mwaz kama mmoja 2, haina tatizo lolote. Bei ni elf 70 ..hakna pnguzo Contact: 0762990097
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa. Isiwe tecno. Iwe katika hali nzuri sana. Bei isizidi tsh. 200,000. Karibu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
lenovo inauzwa bei 450k ipo good haina tatizo ram 4 hdd 500
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Tunatengeneza web applications (websites na web systems) na android applications kwa bei nafuu kabisa,kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane nasi kwa namba zifuatazo 0769729927 au 0652130344
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hdjd
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Bodi ya taifa ya shindano la kimataifa la Miss Utalii Tanzania,inahitaji mawakala wa kuanda na kusimamia fainali za Miss Utalii Tanzania kanda za: Kusini (Ruvuma,Lindi,Mtwara) Nyanda za Juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa huduma kama hzo tucheki na pia tunauza camera kwa bei rahisi zenye ubora wa hali ya juu napatikana kwa 0675866156
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kipo eneo linaloitwa kwa mwatano Eneo ni 40 m × 35m Lina boma la vyumba vinne imefikia lenta Eneo linafaa kwa makazi Nauli ni sh 400 tu kwenda mjini Bei ni 13 milioni (maongezi yapo) Wasap...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
TECNO Y2 INAUZWA IKO KWENYE HALI NZURI ELFU HAMSINI TU NICHEK CHAP KWA 0682332918 . WHATSAPP PIA NAPATIKANA
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari JF. Naanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya taarifa, elimu, na upatikanaji wa vifungashio vya bidhaa zinazotokana na ufugaji. Bidhaa hizi ni kama vile mayai ya kuku, bata, kanga, nk. Pia...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Piga 0762612213 mbezi beach dsm computer desktop ram 4gb HDD 500 na processor i3 320,000 tu CPU Ndogo Tv flat Samsung nchi 50 million moja na Laki moja tu Friji zipo tatu moja ya kioo Laki...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Viwanja vipo km 2 kutoka njia ya lami ya Massana-Mbezi Kimoja kina sq mita 980 kimenyooka mil 22(negotiable) Chengine ni sq mita 240 mil 4(negotiable) Kwa mahitaji ya nyumba na vyumba maeneo ya...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu kuna vyumba viwili vinapangishwa. Nyumba ipo maeneo ya maili mbili Dodoma. Gharama ni 30,000/= kwa chumba kimoja na unaweza kulipia kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya dalali, unanipa hela...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wadau: Ofa inaendelea Jipatie Domain pamoja na hostin kwa mwaka kwa gharama ya TZS 45,000 tu kwa mwaka.Hii ni ofa maalum kwa wanaoanza.Domain.ni za .com.na .co.tz. Gharama za designing...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Wadau naomba mwenye kuwa na noah voxy no C au D kwa mil 6. nipgie au pm 0717088198
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Back
Top Bottom