Habari wadau, pole na mihangaiko nafikilia kuanzisha biashara ya car wash japo inachangamoto kwani umekuwa nyingi na bei imeshuka ila ntakomaa naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kazi hyo
1. Changamoto zake
2.mashine yenye ukubwa gani na bei yake
3.vitu vya kuzingatia kwenye huduma hiyoo
Naomba kuwasilisha
1. Changamoto zake
2.mashine yenye ukubwa gani na bei yake
3.vitu vya kuzingatia kwenye huduma hiyoo
Naomba kuwasilisha