Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
Updates
Zimeshauzwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu.
Zimeshauzwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu.
Iphone 6 64gb ipo katika hali nzuri. Kioo ndio kina mpasuko. Bei 350,000
Macbook Pro tsh 800,000
MacBook Pro(13-inch, Mid 2012)
Processor 2.5Ghz Intel Core i5
RAM 4GB 1600 MHz DD3
Graphics Intel HD Graphics 4000 1536MB
Inatunza chaji masaa 7. Ipo vizuri sana ina DVD drive.
Kwa anayehitaji inbox please.
Pouwa mkuu. Bado ipo. Kuhusu namba njoo inboxDuh pro hiyo sina bahati nayo nini nimenunua mid 2011, 15.4” nilitaka 2012 naomba namba yako ndugu naweza uza kuna mtu alikua anaitaka then nichukue yako kama bado unayo