WAKUU HABARI ZA MIDA?
NAHITAJI MEZA MOJA YA OFISI NA KITI CHAKE CHA KUZUNGUKA MWENYE NAVYO NAOMBA ANIPM PLEASE VINAHITAJIKA HARAKA. ILA VIWE USED KATIKA HALI NZURI KWA MATUMIZI YA OFISI WAKUU...
Eneo kubwa sana lenye ukubwa wa square meter 2334 Linauzwa luchelele karibu na ziwan eneo lina nyumba ndogo ya vyumba viwili sebule na mabanda ya mifugo eneo limepimwa na lina hati miliki eneo...
Nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza, eneo Ibisabageni bei 35mil.
Kiwanja kina ukubwa wa 450sqm
Kiwanja kimezungushiwa fensi na geti
Kuna kisima kimejengwa na kinatunza maji
Kuna tanki la lita...
Habari!
Napenda kuwatangazia fursa kwa wale wanaotaka kununua magari toka Japani na sehemu nyingine duniani kuwa kampuni ya KIMOMWE MOTORS itakuagizia gari ulitakalo kwa
1.Bei na gharama nafuu...
Habari wadau
Watu wanasema kimfaacho mtu chake nipo vibaya kifedha kiasi cha kukosa pesa kabisa nauza king'amuzi changu cha startimes na rimote yake bei 30000 tu pata chanel za bure kama zote...
Jamani kwa ambao wana pdf kwa lugha ya kiswahil zinazohusu kilimo kama cha nyanya. Vitunguu. Pilipili hoho na ufugaji wa nguruwe na kuku watusaidie kutupia uku jukwaani.
wakuu kwa sasa nafanya biashara ya asali kanda ya ziwa na dar es salam, hakika inanifanya niishi vizuri sana ila natamani kufika mbali sana kibiashara, imefika nyakati nataka nianze kufanya...
Habari wana jf.
Je unahitaji kifungashio bora cha bidhaa za mteja wako? Usihofu kuhusu hilo Mimi nimuuzaji na msambazaji (home/site delivery) wa vifungashio bora kabisa vilivyotengenezwa kwa...
Kama unatumia beer na unapenda kubadishana mawazo na wanaopenda beer karibu ujiunge kwny group whatsapp
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Jwme5LhbWOoK28mpX7hopg
Sisi ni wajasiriamali wadogo tunaotengeneza na kuuza viatu vya ngozi ikiwa ni bidhaa kutoka ndani ya Nchi yetu.
Viatu vyetu vina ubora usiotiwa mashaka lakini pia gharama zetu ni nafuu zaidi...
Habari Members
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la nia yangu ya kurudi Mkoani ili nikawekeze kwenye kilimo hivyo nilitangaza kuuza Nyumba yangu ambayo haijakamilika na kiwanja vilivyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.