jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 782
- 1,627
wakuu kwa sasa nafanya biashara ya asali kanda ya ziwa na dar es salam, hakika inanifanya niishi vizuri sana ila natamani kufika mbali sana kibiashara, imefika nyakati nataka nianze kufanya biashara njee ya nchi ila kama kuna mtu mwenye kujua bei ya ASALI kenya kwa vipimo tofauti tofauti tujuzane wakuu.....
kwa unyenyekevu wa hali juu naawasilisha maada kwenu "nikiwa mguu sawa , huku nmebana mikono" KARIBUNI.
kwa unyenyekevu wa hali juu naawasilisha maada kwenu "nikiwa mguu sawa , huku nmebana mikono" KARIBUNI.