Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mpendwa msomaji wetu, kama wewe binafsi au ndugu yako au rafiki yako anayehitaji kusoma Elimu ya sekondari au kusafisha cheti chake/chako cha kidato cha IV katika mwaka wa masomo 2019. Tafadhali...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
naomba kujuzwa bei ya alizeti mkoa wa manyara n singida na dodoma ni sh ngapi kwa gunia la debe saba
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Gari aina ya canter inauzwa Kwa bei rahisi sana ni baada ya mzee kuona dereva anamsumbua kaamua kuuza Anahitaji million kumi na tatu tu kama una mteja uza Kwa bei yeyote yeye yake ni hiyo tu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu. Eneo bado halijapimwa Bei ni 12,800,000/= ikiwa utapenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum,jamani mimi ni mjasiriamali naishi hapa dsm natafuta tenda ya kusambaza matunda,mbogamboga na kuku wa kisasa,kwa yoyote mwenye hotels,mashule,functions...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunauza vyombo used Chupa za kuhifadhia maji,juice,chai nk
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HUAWEI MATE 8 Double line storage 64gb Camera 16mp Camera 8mp 4G Ram 4gb Fingerprint Android Oreo Bei Tsh 250000
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nnaomba kwa mtu mwenye fremu ktk eneo likilochangamka kama Sinza au Makumbusho na kodi isizidi 150,000 anitafute tafadhal, dremu iwe kubwa na yenye viwango sio ile ya kutengeneza
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Habarini wadau wa jukwaa hili ? Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka(35*35) kwa bei ya Tsh Milioni 15. Kiwanja kinapatikana Toangoma njia ya kwenda kigamboni kutoka kongowe. Karibu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nyumba moja ya kwanza ipo eneo la Mjohoroni karibu na ilipokuwa Merinyo sekondari. Na nyingine ipo Meresini A jirani na Marangu sekondari. Kwa anaehitaji nicheki inbox.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalaam aleikum ndugu zangu wa jukwaa hili mahususi, bila shaka mtakuwa mnaendelea vizuri na mapumziko ya mwisho wa wiki. Basi ningependa ku-share nanyi biashara hii ambayo iko wazi na...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Habari za mchana Wakuu. Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza na bei imeshuka mpaka 34mil. Eneo lina ukubwa 450sqm. Nyumba imezungushiwa fensi na kuna...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nyumba imejengwa imefika usawa wa lenta ni nyumba ya vyumba vinne inauzwa ukubwa wa kiwanja ni 30*20 kiwanja kimepimwa documents zote halali zipo bei ya hii ni milion nane kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanazengo natumaini muwazima kabisa... Yapata week sasa ni baada ya kuamua kufanya service gari yangu aina ya suzuki swift 2007 Vifaa vyote vinavyotakiwa vimepatikana kwa...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Nauza chia seeds zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. 1kg inauzwa 17,000/- gharama za kuletewa utajitegemea. 3kgs na zaidi zinauzwa 1kg@16,000/- unaletewa popote Dar es salaam. 1/2kg...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari! Kwa anayefahamu naomba kusaidiwa kupata sehemu nzuri ambapo ntafanya biashara ya spare pats na service za Howo truck hapa Dar es salaam. Pia napenda kufahamu kodi ya miezi 6 itakua kiasi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari kwenu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,kwa MTU,SHIRIKA ama TASISI yenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanyiwa coverage ya VIDEO PRODUCTION. Tunatengeneza aina mbali mbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BEI 450,000/= Call & Whatsapp 0764876888 Magomen DSM
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Habari..Tunauza viwanja viwili kwa ajili ya mahitaji ya ujenzi wa petrol station mali halisi ya familia yetu kwa bei nafuu sana..kimoja kipo singida road heka tatu kina hati bei ni mil 170. na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom