Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

JAMII-ASM

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,305
524
mask-of-king-tut.jpg

KING TUT.

Kwa sisi tulio wengi tumeaminishwa kupitia mafundisho ya vitabu vya watu weupe, yaani wazungu na waarabu, kuwa ma-Pharaoh wa Misri walikuwa ni watu wenye asili kama ya kwao ,yaani weupe, na kwamba ma-pyramid yalijengwa na jamii iliyokuwa na maendeleo ya hali ya juu sana na haiwezekani hata kidogo watu hao wakawa ni watu weusi, yaani waafrika.

Why Hollywood Thinks the Pharaohs Were White

Freemason na illuminati (taasisi zilizoanzishwa na watu weupe) wanatumia sana alama za pyramid
406110867089130d8a0eb352c223b1df0067a6bc.jpg

ishara yakuwa hawa watu waliojenga pyramid hawakuwa watu wa kawaida.

Aibu imewakuta watu weupe na wataalamu wanaojiita egyptologists...walioamini kuwa mtu mweusi -negro .. hana uwezo wa hata kuwa na maarifa yanayo fanana na Egypt ya ma-pyramid..
kifupi wameumbuka...na wameumbuliwa na technolojia yao wao wenyewe...yaani DNA Sequencing.

DNA ya Pharaoh Ramses III imethibitisha farao huyu alikuwa mweusi piiiii,tena asili yake ni hapa Afrika mashariki..
DNA yake imepewa jina... inaitwa E-V38. Kinasaba hiki E-V38 kinapatikana kwenye damu za wanaume wa Afrika...hasa afrika mashariki ,na si kwingineko.
picture-4-13.png


Ukweli nd'o huu

''These results indicate that both Ramesses III and Unknown Man E (possibly his son Pentawer) shared an ancestral component with present day populations of Sub-Saharan Africa.''

http://www.dnatribes.com/dnatribes-digest-2013-02-01.pdf

http://www.dnatribes.com/dnatribes-digest-2012-01-01.pdf

Haplogroup E-V38 - Wikipedia, the free encyclopedia
dnatribes.jpg


Ma-Pharaoh ni ndugu zetu, tena wa damu.. wanasema waingereza ''Science doesn't lie''

Maelezo ya Malcom X...akieleza namna wazungu wanavyojaribu kuuficha ukweli.




".... this race of Black men, today our slave and the object of our scorn, is the very race to which we owe our arts,sciences, and even the use of speech!''
- Constantin de Volney.
 
Kumbuka ndio huyo huyo FIRAUNI
Usipotoshe..Firauni alikuwa ni ''Pharao'' wa enzi za Mtume Mussa au mtume Muhammad.
It depends on the context...Mwenyewe Muhammad aliwahi kusema... “every Messenger has a Firaun and the Firaun of my ummah is Abu Jahl.”
Elewa kuwa Ma-farao katika historia ya Misri ni wengi sana.toka enzi za Mtume Musa.na hata kabla yake.Ukiwahesabu katika ''dynasties'' ni wengi mno.
Na Firauni enzi za Mtume Muhammad alishakuta pyramid zimejengwa.
Huyu Pharao Ramses III aliishi miaka elfu moja kabla ya hata Yesu mwenyewe hajazaliwa.
Kwa kifupi ..Yesu aliyakuta ma-pyramid yashajengwa miaka elfu iliyopita ..na akawa anayashangaa kama sisi tunavyoyashangaa.Mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu.

English-French

pharaoh - English-French Dictionary

pharaoh = pharaon
 
Last edited:
Usipotoshe..Firauni alikuwa ni Pharao wa enzi za Mtume Muhammad. Ma-farao katika historia ya Misri ni wengi sana.toka enzi za Mtume Musa.na hata kabla yake.Ukiwahesabu katika ''dynasties'' ni wengi mno.
Na Firauni enzi za Mtume Muhammad alishakuta pyramid zimejengwa.
Huyu Pharao Ramses III aliishi miaka elfu moja kabla ya hata Yesu mwenyewe hajazaliwa.
Kwa kifupi ..Yesu aliyakuta ma-pyramid yashajengwa miaka elfu iliyopita ..na akawa anayashangaa kama sisi tunavyoyashangaa.Mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu.
Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
 
Kuna wakati makao makuu ya pharaoh yalikuwa kusini ya misri.
misri watu weusi walikuwepo hata michoro ya kale huko misri inaonyesha hivyo.
misri upande WA kusini inapakana na Sudan nchi ya watu weusi .
afrika ya mashariki wapo watu wenye asili ya Ethiopia na Sudan maeneo ya kaskazini ya kenya ,uganda na kaskazini ya Tanzania.
marehemu babu yangu alikuwa mrefu na mweusi Sana kiasi alifanana na watu WA sudan.
hivyo sayansi haidanganyi
 
Last edited:
Kuna wakati makao makuu ya pharaoh yalikuwa kusini ya misri.
misri watu weusi walikuwepo hata michoro ya kale huko misri inaonyesha hivyo.
misri upande WA kusini inapakana na Sudan nchi ya watu weusi .
afrika ya mashariki wapo watu wenye asili ya Ethiopia na Sudan maeneo ya kaskazini na kaskazini ya Tanzania.
marehemu babu yangu alikuwa mrefu na mweusi Sana kiasi alifanana na watu WA sudan.
hivyo sayansi haidanganyi
Uko sahihi kabisa..Mimi babu wa babu yangu upande wa mama alitokea upande wa Abyssinia. Hii ni Ethiopia na Somalia kwa jiografia ya leo.

Mila moja kuu ambayo hatukuletewa na wageni ni kutahiri na kufuga mifugo. Haya hatukufunzwa na mzungu wala mwarabu. Kabila zote zinazotahiri zinatamaduni za Kimsri. Hata wayahudi na waarabu walijifunza kutahiri kutoka kwa wa Misri.
Michoro ya waMisri inayoelekeza namna ya kutahiri.Hii michoro ni ya miaka 3000 BC.kabla Yesu hajazaliwa.
images
 
Last edited:
Wewe huna maarifa, muhamad (mtume) alivokuja aliikuta uislam upo miaka mingi ilopia" sie yeye alieleta dini"
Mtume Muhammad alipokuja alikuta vitabu vitatu- Taurat ,Zaburi na Injil na yeye akaongezea Quran.Hivi ni vitabu vya kabila moja lililozaliwa na Abraham au Ibrahim.
Islamic holy books - Wikipedia, the free encyclopedia
Katika utawala wa Misri kabila hili lilipewa daraja la mwisho kabisa. na watu ambao hawakuwa na hadhi kabisa pale Egypt walikuwa ni wayahudi/waarabu..
A. Wamisri-wenye nchi
D. Wayahudi
Lepsius_4Groups.jpg
 
Tafadhali usibadili mada hapa, mada husika ni kuwa je kuliwahi kuwa na Farao wa Misri mwafrika kwa maana ya ngozi nyeusi, ok!?
Kwa ufahamu wangu mdogo ni kwamba Farao wa mwanzo kabisa walikuwa ni weusi na walikuwa wanatoka sehemu za Aswan ambako mpaka leo kuna wamisri weusi. Aswan iko mpakani mwa Misri na Sudan. Niliwahi kuelezwa na mtu aliyewahi kutembelea Egyptian Museum ambako mwili wa Farao mmojawapo umewekwa, kwamba mwili huo ni wa mtu mweusi.

Tiba
 
Kwa ufahamu wangu mdogo ni kwamba Farao wa mwanzo kabisa walikuwa ni weusi na walikuwa wanatoka sehemu za Aswan ambako mpaka leo kuna wamisri weusi. Aswan iko mpakani mwa Misri na Sudan. Niliwahi kuelezwa na mtu aliyewahi kutembelea Egyptian Museum ambako mwili wa Farao mmojawapo umewekwa, kwamba mwili huo ni wa mtu mweusi.

Tiba
Uko sahihi..Ila nitakupa ufafanuzi zaidi usio na shaka.
Katika Misri aliwahi kutokea mwandishi maarufu ''scribe'' aliyeitwa Hunefer. Kabla hajafa aliacha maandiko yanayoeleza asili ya waMisri wa wakati wake.
Aliandika hivi
''We came from the beginning of the Nile where the god Hapi dwells, at the foothills of the mountains of the moon.''
Wataalamu wengi wanaamini alikuwa anaongelea eneo la maziwa makuu na milima yenye barafu ya Kilimanjaro na Ruwenzori.
Egypt (Kemet): The Egyptian Book of the Dead-Admissions Of Faith & Purity(The So-Called Negative Confessions)-Part 1
 
Last edited:
Back
Top Bottom