Kile kiapo cha damu hiki hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART

Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake

NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE

CC: [/USER] chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
 
Last edited by a moderator:
1440231824318.jpg hiki ni kiapo na manuizi ya mapenzi ya Milele! Watu wengi si Kwamba ni waganga bali huchukua vitu kama hivi na kukuelekeza tu cha kufanya

1440231963070.jpg hili ni limbwata baya kabisa Kwahiyo kuna wakati kama ukiona mapenzi yamepungua anza kufikiri Tofauti kwakuwa yanaweza kukukuta ya kukukuta

1440232103321.jpg hii ni kwa ajili ya wale wanaosumbuliwa na wanga walozi mapepo na wachawi
 
Na kiapo kingine ni kile cha kuapia Mama ama Mungu....Kwa ishu ambayo unadanganya na unataka dhambi yake iwe ndogo kidogo wengi wakiambiwa apia hicho usemacho ....Chap anasema haki ya mama vile...na wale maconcord unasikia haki ya Mungu vile...
 
Na kiapo kingine ni kile cha kuapia Mama ama Mungu....Kwa ishu ambayo unadanganya na unataka dhambi yake iwe ndogo kidogo wengi wakiambiwa apia hicho usemacho ....Chap anasema haki ya mama vile...na wale maconcord unasikia haki ya Mungu vile...

Ha haa haa mkuu kweli asee...waliokwisha jitoa ufahamu utasikia haki ya mungu vile afu huku uwongo!!...hiyo dhambi yake bora kiapo cha damu!
 
View attachment 279045hiki ni kiapo na manuizi ya mapenzi ya Milele! Watu wengi si Kwamba ni waganga bali huchukua vitu kama hivi na kukuelekeza tu cha kufanya

View attachment 279047hili ni limbwata baya kabisa Kwahiyo kuna wakati kama ukiona mapenzi yamepungua anza kufikiri Tofauti kwakuwa yanaweza kukukuta ya kukukuta

mkuu shukran kwa kunitag nilikuwa nasubir kwa hamu hii kitu ila naomba utuelimishe zaidi kwenye viapo vinavyo tolewa na badhii ya makabila au familia km kuunganisha undugu, nmewahi kushuhudia marafiki wawili kila mtu akiwa na familia yake walikubaliana kuungana kuwa ndugu kutoka urafk wakachuku mbegu ya muhindi wakaikaanga kila mmoja wakajchanja na kiwembe kwenye vidole na kupaka mbegu ya muhnd damu ya kila mtu na kuila hawa jamaa wanaweza wakapata madhara gan kama wakija kusalitiana?
b) Na je vp kuhusu makundi hatari duniani au yasiri wanaweka kiapo hcho na adhabu anaye keuka n moja tu ya kifo kuna siri gan juu ya kiapo hcho?

2) pia naomba usijikite zaidi kwenye viapo vya mapenzi maana inaweza ika affect jamii kwa kiasi furan maana humu kila mtu anaakili zake wengine wana akili za panzi wanaweza wakapractice ikaja kuwaletea matatzo baadae maana humu JF tupo kwaajili ya kuelimishana na kusaidiana kutatua matatzo kwa namna moja ama nyngne na si kusababishiana matatizo.
 
Back
Top Bottom