HERRAKI NURSERY SCHOOL TANDIKA

muzr

Member
Sep 5, 2017
31
18
Herraki nursery school iliopo Tandika, daresalaam inatangaza nafasi za kazi kwa

WALIMU WA KIKE: nafasi 2
Majukumu:
-kufundisha watoto
-kuwasimamia na kuakikisha watoto wanakua salama muda wote wanapokua eneo la shule
-kuakikisha watoto wanakula kila ifikapo muda wa kula
-na majukumu mengine yote yatakayokuitaji uyatekeleze

MPISHI WA KIKE: nafasi 1
majukumu
-kupika chakula cha asubuhi na mchana
-kuakikisha watoto wamekula na kuwasimamia wakati wa kula
-kuakikisha mazingira ya jikoni na vyombo vinakua safi

Mshahara: 150,000 mwalimu
70,000 mpishi
Tuma CV kwa email mudhihiri26@gmail.com
Wanahitajika kwa haraka sana kujaza nafasi
 
Back
Top Bottom