Hongera CHADEMA kwa kujitoa, leo uchaguzi unafanyika bila umwagaji wa damu

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kama tulivyoshuhudia Vifo na umwagaji wa damu katika uchaguzi Mdogo uliopita, hali ni tofauti Leo baada ya chadema kujitoa! Mambo yako kimya kimya ni amani tupu utadhania hata hakuna uchagzui Leo.

Hakuna sehemu yaliporipotiwa mauaji au umwagaji wa damu, kuanzia kipindi cha kampeni hadi Leo siku ya uchagzui

Hongereni chadema, kujitoa kweni kumeepusha mengi hasa kwa RAIA wasio na hatia

Nawakumbhusha jamani Leo ni uchaguzi wa mfumo wa chama kimoja, maana wengi hamkuwa na taarifa
 
Sasa subiri matokeo utasikia waliojiandikisha katika jimbo la singida mashariki ni 200,000 waliojitokeza kupiga kura ni 199,999 ccm wameshinda kwa kupata kura 199,998, kura moja ndiyo iliharibika, halafu utasikia wanajitapa huu ni ushindi wa kishindo cha tsunami tetetetetetete
 
Kama tulivyoshuhudia Vifo na umwagaji wa damu katika uchaguzi Mdogo uliopita, hali ni tofauti Leo baada ya chadema kujitoa! Mambo yako kimya kimya ni amani tupu utadhania hata hakuna uchagzui Leo.

Hakuna sehemu yaliporipotiwa mauaji au umwagaji wa damu, kuanzia kipindi cha kampeni hadi Leo siku ya uchagzui

Hongereni chadema, kujitoa kweni kumeepusha mengi hasa kwa RAIA wasio na hatia

Nawakumbhusha jamani Leo ni uchaguzi wa mfumo wa chama kimoja, maana wengi hamkuwa na taarifa
Kwa tafasiri ingine CDM ndiyo wagomvi
 
Back
Top Bottom