Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,790
- 2,386
Yes. Tuliishi wote zaidi ya miaka mitano na tukabahatika kupata mtoto mmoja lakini baadae tukaachana baada ya kutofautiana tabia.
Imepita zaidi ya miaka mitatu tangu tumeachana lakini sasa nimeamua. I dont want wakuite single mother anymore. I am coming back to you my dear wife tumlee kidume wetu pamoja na tujenge maisha yetu ya sasa na ya baadae.
Sijali mahusiano uliyopitia baada ya kuachana na mimi nmaana hata mimi nimekuwa na mahusiano pia.
Umri unakwenda na wanawake wote ni sawa tu. Ni bora kuishi na wewe ambae nayajua mapingufu yako kuliko kuanzisha mahusiano mengine.
Naombeni wakuu muige mfano wangu. Sio sifa kuwa na watoto wengi huku kila mmoja akiwa na mama yake, tupambane na mahusiano yetu.
Usiku mwema
Updates
Baada ya kumshawishi sana mzazi mwenzangu kuhusu kurudiana naona bado hajawa tayari.
Sasaaaaaaaaaaa
Naombeni ushauri kwenu wadau
Nifanyeje ili huyu mwanamke ajue kuwa kweli nahitaji kuwa na familia yangu tena.
Nimebahatika kupata pesa kidogo ambayo pia nilitaka kufanya investment ambayo yeye a akuwa msimamizi lakini bado nasita maana hajaeleweka pia.
Nawasilisha mkuu