Baadhi ya waombao misaada huwa sio wakweli. Inasikitisha mtu anavyochezea bahati!

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,988
22,379
Habari za Leo wadau,

Nikielekea moja kwa moja kwenye hoja, tunashuhudia wanachama mbali mbali wa JF wakileta mabandiko yao humu ya kutafuta kazi na wengine kuomba misaada ya mambo mbali mbali. Si jambo baya maana ndio sababu iliyotufanya tukutane humu.

Tatizo linakuja tu pale ambapo baadhi ya watafutao kazi na hiyo misaada kuwa hawamaanishi wanayoyaandika humu na hatimae kutuweka matatani sisi wenye roho safi. Naleta mkasa ufuatao ili watu wajifunze na sina nia ya kumsimanga, kumkejeli au kumuharibia mtu. Lengo ni wadau mjifunze.

Kuna mdau alileta bandiko la kutafuta ajira humu tena akasema yoyote tu itamfaa, Mimi nkaona nimdadisi kidogo. Katika udadisi wangu nikagundua kwamba mdau anahitaji msaada kweli na nikaamua kama binaadam kumsaidia.

Katika maongezi yetu alidai kuwa akipata 300k basi yeye anaweza kuzifanyia kazi na kutatua yanayomkabili. Kwa vile Mimi ofisini najua tunafanya such stuffs nkaona haina mbaya ntamfanyia mpango. Nliongea na director wangu (mama mmoja hivi Ana huruma sana) nkamueleza kuhusu huyu binti.

Nikamueleza kwamba we can hire her tumpe tu accommodation na atakula staff food na asubuhi atakunywa chai pia kazini. Jioni atapapatua. Tukimlipa mshahara wake basi atakuwa kashapata hiyo 300k na sisi tushamtathmini vizuri tutaamua then.

From my end, it was a win win situation ila director wangu alikataa kwa sababu ya trust issues maana she has got experience with people from Dar as salaam.kwa

Kwa hiyo mkuu aka-authorise apatiwe bora capital lakini alete BP ili iwekwe kwenye records na atakapopatiwa huo msaada atasign documents husika for our accounting purposes kama ilivyo kawaida. Nkamueleza mdau aandae BP ila hata baada ya wiki bado alishindwa japo aliniambia yeye Ana diploma ya procurement. Some days later nkapata safari ya Dar kikazi, na mkuu alikuwa Dar, nkamueleza huyu bi dada humu ndani tuonane tuongee nae ila she never confirmed her attendance. Hiyo issue iliniweka pabaya kiasi maana kulionekana kama kulikuwa na mazingira ya upigaji. Hapa ndio nkaconnect dots kwamba hata taarifa alizokuwa akitoa zilikuwa na mashaka.

Kwa hiyo wadau mlioko kwenye positions flani flani hivi, muwe makini kiasi baadhi ya wanaoomba msaada humu huleta taarifa za uongo ili tu wasaidiwe.

Nadhani mdau akipitia huu Uzi ataona alifanya jambo baya now I don't know if she will be strong enough to say sorry!

Nawasilisha
 
Habari za Leo wadau,

Nikielekea moja kwa moja kwenye hoja, tunashuhudia wanachama mbali mbali wa JF wakileta mabandiko yao humu ya kutafuta kazi na wengine kuomba misaada ya mambo mbali mbali. Si jambo baya maana ndio sababu iliyotufanya tukutane humu.

Tatizo linakuja tu pale ambapo baadhi ya watafutao kazi na hiyo misaada kuwa hawamaanishi wanayoyaandika humu na hatimae kutuweka matatani sisi wenye roho safi. Naleta mkasa ufuatao ili watu wajifunze na sina nia ya kumsimanga, kumkejeli au kumuharibia mtu. Lengo ni wadau mjifunze.

Kuna mdau alileta bandiko la kutafuta ajira humu tena akasema yoyote tu itamfaa, Mimi nkaona nimdadisi kidogo. Katika udadisi wangu nikagundua kwamba mdau anahitaji msaada kweli na nikaamua kama binaadam kumsaidia. Katika maongezi yetu alidai kuwa akipata 300k basi yeye anaweza kuzifanyia kazi na kutatua yanayomkabili. Kwa vile Mimi ofisini najua tunafanya such stuffs nkaona haina mbaya ntamfanyia mpango. Nliongea na director wangu (mama mmoja hivi Ana huruma sana) nkamueleza kuhusu huyu binti. Nkamueleza kwamba we can hire her tumpe tu accommodation na atakula staff food na asubuhi atakunywa chai pia kazini. Jioni atapapatua. Tukimlipa mshahara wake basi atakuwa kashapata hiyo 300k na sisi tushamtathmini vizuri tutaamua then. From my end, it was a win win situation ila director wangu alikataa kwa sababu ya trust issues maana she has got experience with people from Dar as salaam.
Kwahio ndio umemaliza au ?
 
Habari za Leo wadau,

Nikielekea moja kwa moja kwenye hoja, tunashuhudia wanachama mbali mbali wa JF wakileta mabandiko yao humu ya kutafuta kazi na wengine kuomba misaada ya mambo mbali mbali. Si jambo baya maana ndio sababu iliyotufanya tukutane humu.

Tatizo linakuja tu pale ambapo baadhi ya watafutao kazi na hiyo misaada kuwa hawamaanishi wanayoyaandika humu na hatimae kutuweka matatani sisi wenye roho safi. Naleta mkasa ufuatao ili watu wajifunze na sina nia ya kumsimanga, kumkejeli au kumuharibia mtu. Lengo ni wadau mjifunze.

Kuna mdau alileta bandiko la kutafuta ajira humu tena akasema yoyote tu itamfaa, Mimi nkaona nimdadisi kidogo. Katika udadisi wangu nikagundua kwamba mdau anahitaji msaada kweli na nikaamua kama binaadam kumsaidia.

Katika maongezi yetu alidai kuwa akipata 300k basi yeye anaweza kuzifanyia kazi na kutatua yanayomkabili. Kwa vile Mimi ofisini najua tunafanya such stuffs nkaona haina mbaya ntamfanyia mpango. Nliongea na director wangu (mama mmoja hivi Ana huruma sana) nkamueleza kuhusu huyu binti.

Nikamueleza kwamba we can hire her tumpe tu accommodation na atakula staff food na asubuhi atakunywa chai pia kazini. Jioni atapapatua. Tukimlipa mshahara wake basi atakuwa kashapata hiyo 300k na sisi tushamtathmini vizuri tutaamua then.

From my end, it was a win win situation ila director wangu alikataa kwa sababu ya trust issues maana she has got experience with people from Dar as salaam.
Bro tafadhali usiendelee na huu uzi wa kumuanika demu wangu humu
 
Kwa hiyo mkuu aka-authorise apatiwe bora capital lakini alete BP ili iwekwe kwenye records na atakapopatiwa huo msaada atasign documents husika for our accounting purposes kama ilivyo kawaida. Nkamueleza mdau aandae BP ila hata baada ya wiki bado alishindwa japo aliniambia yeye Ana diploma ya procurement. Some days later nkapata safari ya Dar kikazi, na mkuu alikuwa Dar, nkamueleza huyu bi dada humu ndani tuonane tuongee nae ila she never confirmed her attendance. Hiyo issue iliniweka pabaya kiasi maana kulionekana kama kulikuwa na mazingira ya upigaji. Hapa ndio nkaconnect dots kwamba hata taarifa alizokuwa akitoa zilikuwa na mashaka.

Kwa hiyo wadau mlioko kwenye positions flani flani hivi, muwe makini kiasi baadhi ya wanaoomba msaada humu huleta taarifa za uongo ili tu wasaidiwe.

Nadhani mdau akipitia huu Uzi ataona alifanya jambo baya now I don't know if she will be strong enough to even say sorry!

Naomba kuwasilisha.
 
Heheheh,
Nasubiri akiona huu uzi umemuanika atakuja hapa na kusema ulimtongoza ukataka kumbaka ndio maana akakupotezea wewe na msaada wako.
 
Back
Top Bottom