Habari ndugu zangu, JamiiForums ninaingia baada ya kupewa sifa kedekede na watu wangu wa Karibu. Natumaini Kujifunza na Kupata connection pia. Naomba kukaribishwa !!
Hadi hadi! Mimi ni mgeni humu ijapokuwa nimekuwa naangalia kwa mbali yale yanayojadiliwa humu. Nimeamua sasa kujiunga ili pia niweze kuchangia mada na kutoa mada pia.
Kama jina langu...
Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu,
Naomba nitumie fursa hii kujitambulisha rasmi.
Naitwa Joseph Lucas Mkumbo, nina umri wa miaka 38 na ninatokea Utemini, mkoani Singida. Kwa sasa...
Hello wakubwa zangu
Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks...
Kilichonishawishi Kujiunga na JamiiForums (JF)
Karibu miaka ya 2016 hadi 2017, kipindi hicho nilikuwa bado nipo shule Nyumbani nilikuwa naaminika kiasi cha kupewa simu kwa ajili ya...
Hodi hodi wana Jf, mimi ni member mpya katika jukwaa hili naombeni mnipokee. Mimi ni mfanya biashara ninayejihusisha na; Kuuza na kufunga CCTV CAMERA. Asanteni.
Habari waungwana!
Baada ya miezi kadhaa ya kufuatilia mijadala ya JamiiForums kama guest user sasa leo hii ninejiunga rasmi nanyi humu jukwaani. Naombeni mnipokee. Ahsanteni sana.
Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"
Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia...