Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimejifunza mengi sana kupitia wana Jf Natumai tutaendelea kujifunza pa1 Ahsante!!
1 Reactions
5 Replies
733 Views
Ni member humu zaidi ya miaka 3 lkn nilikuwa msomaji tu pasipo kuchangia lolote nmeamua nami nijiunge na jamii hii huru ili nami niweze kuchangia kile nilichonacho. Asante sana Sent using Jamii...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ,Natumaini wote ni wazima ... Nafarijika kuingia katika forum hii, Tuendelee kupeana support kupitia mada mbali mbali zinazotupa elimu,burudani na faida mbali mbali One love
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi naitwa Johari msabila nimefurahi kuwa moja went katika JamiiForums
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza Hivyo naomba niwashukuru mno Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
958 Views
Hallow Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Habari wanaJF, Mimi nilikuwa msomaji muda mrefu lakini sikuwa nimejiunga lakini sasa nimeamua kujiunga naomba mnikaribishe Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hodi hodi wana GT
2 Reactions
5 Replies
743 Views
Wenyewe mpoo? Hodi mpaka ndani,wanajamii,Invisible naomba hifadhi tafadhari.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MwanaJF mpya. Naombeni ukaribisho wenu kwa moyo mkunjufu. Naamini tutafundishana, kuelimishana, kuburudishana na kuonyana kwani JF ni kisima cha maarifa. Heshima kwenu. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
6 Replies
819 Views
balaa zito hapa kati.... # hi kama zote kwako...
0 Reactions
6 Replies
665 Views
Hello ladies and gentlemen! How are you? I'm a new member. I need your cooperation.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Daah nipo kitambo JF ila sijawahi kujitambulisha,, Tena uku ndo sipitagi kabisa leo imetokea tu ,, nikaliona jukwaa la utambulisho . Si vibaya naomba ushirikiano uendelee! Maana mshanipokea tyr...
1 Reactions
2 Replies
476 Views
Ni Mgeni humu lakin pia ni fundi mtaalam wa Urembo wa Nyumba na Rangi ....Nipo Dar es salaam ila popote nakufikia kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa nyumba yako....Make sure unachukua namba hii...
1 Reactions
5 Replies
865 Views
Naomba ukaribisho tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
576 Views
Mimi ni mgeni, nipokeeni makamanda Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
878 Views
Mgeni nawasalim wenyeji.. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
6 Replies
609 Views
Me ni mgeni humu Jamiiforum! Ujuzi wangu ni FUNDI UREMBO WA NYUMBA NA FUNDI RANGI NIPO DSM naomba ushirikiano wenu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
628 Views
Naitwa Sadick Nipo Kigoma Nimeipenda sana hii familia ya JF ndiyo maana Leo nimejiunga naombeni ushirikiano wetu ili tuweze kupeana maarifa Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeingia katika mjumuiko wa wanamawaza chanya na hasi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom