new to FJ, looking for a job/volunteering opportunity /internship opportunity........... as a young graduate in procurement and logistics management(bachelor) at NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT...
Assalam Alykum warahmatullah?
Mambo vipi wadau?
Napatikana; Tanga Tz
Nafurahi nami kujiunga na jf
Ushirikiano wenu kwangu muhimu.
Shukrani nyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara baada ya kujifunza na kufuatilia makala za wanachama Kwa mda mrefu bila kua mwanachama leo nimejiunga Rasmi naombeni ushirikiano wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu,mie naitwa wakala wa majini,na huu ndio mwanzo wangu kujiunga na jf ijapo kuwa nimekuwa nikifuatilia kwa umakini thread zote za jf,katika forum zote,kama forum ya...
Baada ya kuwa mpitiaji wa makala na msomaji hata nikitafuta kitu google majibu mengi hutoka humu,na baadaye nikabaini humu ni kuzuri kweli,sasa ni rasmi nimejiunga nanyi naomba ushirikiano wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.