Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mgeni wenu naomben mnipokee Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
825 Views
Mgeni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
679 Views
Hello everyone! Hope you are good na unaendelea na kuchukua tahadhari zidi ya covid 19! Here is your new good friend Gibe Michael from Tanzania
1 Reactions
3 Replies
692 Views
Habarini wakuu, Nina imani kila mmoja anafata taratibu zilizowekwa na wizara ya afya ili kujikinga na gonjwa LA corona. Leo nimeona ni vizuri kufungua account baada ya kuitumia(jf)bila ya...
0 Reactions
5 Replies
704 Views
Hodi humu wandugu
1 Reactions
9 Replies
746 Views
Hivi bongo orodha ya wasanii wenye pesa ipo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mimi ni mgeni humu ndani nikaribisheni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
682 Views
Ni member mpya hapa jf naamini tutashirikiana kujuzana mengi na kufundishana nitakuwa naleta makala mbalimbali za michezo na nmeshaandika moja kuhusu Ronaldinho Gaucho chukua muda wako kuisoma...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kijana amka ni kikundi ambacho kina toa elimu kwa vijana kuwa na mtazamo chanya, kujiajiri, na kujikwamua kiuchumi. Kijana amka tunapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni. Lengo letu ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi wadau wa JF mi ni C.E.O wa kijana amka naitaji ushirikiano wenu project yetu bado nk changa tunaitaji wadhamini nitafurahi sana nikipata mdhamini umu kundini tatizo langu nikipost si pati...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa jina naitwa elsafi kidoto new member to jamiiforum,Mwanafunzi wa utabibu na mjasiriamali pia,karibuni sana SONGEA. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi mgeni humu ndani. Naombeni mnipokee wenyeji wangu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
886 Views
Ikiwa nimekaribishwa,basi karibuni Hai. Ila Hai hawaji na mbeleko ya dola,njoo mwenyewe. #tumehuruyauchaguzi. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
715 Views
Habari zenu wakuu Baada ya kuwa msomaji wa thread za Jf kwa muda mrefu hatimae nimekuwa member rasmi, naomba mnipokee wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, mimi ni kijana wenu nimejiunga Jukwaani tusongeshe gurudum la maisha kwa kujadilia mambo tofauti kulingana na maisha, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
833 Views
Nashindwa jinsi kujisajili naomba msada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nailifanya mapenzi na msichana mmoja ambae kwa hapa mtaani kwetu inasemekana ameathirika. Na kibaya zaidi huyo msichana atumii dozi(ARV). Na katika kufanya nae mapenzi sikutumia kinga. Yapata...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeshaipekua sana Jf nikiwa Guest tu...hh. Mpka nimeamua kujiunga rasmi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
852 Views
Hi friends wa JF,,nkarbishen member mpya humu... ahsante
2 Reactions
9 Replies
981 Views
Back
Top Bottom