Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma. Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu! Nafikiri kamba mguuni inaonekana
0 Reactions
7 Replies
769 Views
hamtaki au?:D:D
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Ni matumaini yangu mko salama na wenye afya tele na wale ambao tupo kwenye mitihani ya maradhi basi Mungu atufanyie wepesi. Ndugu yenu kaktika kujenga fikra nimejiunga nanyi, tuwe pamoja. Sent...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuuuu, poleni na majukumu ya hap na pale na poleni kwa janga/majanga (....CORONA....) Yanaiyoikumba dunia kwa ujumlaaa.... Mimi ni mgeni naomba nikaribishwe jamiii yen Sent using...
0 Reactions
5 Replies
779 Views
Nimugeni naomba mnipokee kiroho safi
2 Reactions
12 Replies
961 Views
Mimi mpya humu. Masaa 24 sasa sipati account aproval ili nami niweze changia. Vipi admin yuko karantin au Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Thank you for accepting me to be part of JF members Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
1K Views
nimeamua kijiunga nanyi kulisongesha gurudumu la maisha
1 Reactions
3 Replies
655 Views
Wakuu habarini imekua ni tamanio langu kujumuika ndani ya jf pamoja nanyi naombeni mnipokee ila sina kamba mguuni Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
743 Views
Salamu wadau mnikaribishe Mimi mgeni??? Mr possibility
2 Reactions
15 Replies
973 Views
Awali ya yote nashukuru kukubaliwa kuunganishwa hapa, nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali za wanaJF kwa muda mrefu. Nimeelimika na mengi, pia nimekuwa nikiburudika na mengi kupitia JF. Nimeona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodini Jf mm ni member Mpya bila ya kuwa na Account humu Jf ila nilikuwa mdau mkubwa wakufuatilia habari za aina mbalimbali. Naombeni ushirikiano wenu pia, asanteni sana familia ya Jf. Sent using...
0 Reactions
8 Replies
823 Views
Wadau Mimi mgeni hapa JF ndiyo nimekaribishwa, naomba kuonyeshwa mazingira. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
835 Views
Hodi jamani humu ndani:-Awali ya yote naomba kuwashukuru mno kunikubalia Kujiunga na jamii hii kwani najua nitajifunza mengi kwa hayo machache Asanteni sana Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
932 Views
Hello Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
672 Views
Habari zenu wadau wa JF. Nakuja mbele zenu kama mwanachama mpya kabisa katika platform hii nzuri kabisa. Naomba mnipokee na kunipitisha katika corridor zenu za hapa nyumbani JF. Sent using...
0 Reactions
5 Replies
670 Views
Hivi inachukua muda gani moderator kuapprove account yako? Ahsanteni kwa kujumuika nanyi kwenye jamvi hili la maarifa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
748 Views
call me 0764 379 499 whasup Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
103 Replies
8K Views
Mimi ni mgeni, naomba kampani 0653985819 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
586 Views
Back
Top Bottom