Mimi ni mwanachama mpya kwenye uwanja wetu huu wa mawazo ya kulijenga taifa letu tunaloliita changa, japokuwa sina uhakika kama bado ni changa, ila ninaamini kuwa hapa tutalikomaza kama litakuwa bado halijakomaa...Keep up good work ya kupamabana na ufisadi kwa uwazi na ukweli mpaka tushinde....JuniorK