Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu wana jamii,,, Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza ku post maoni yangu laikini ngoja niseme tu nione wadau mnalionaje hili. Wana CCM mtanisamehe though. Kuna haka kamtindo kameanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hamjambo watu wazuri, Jina langu ni Bibi Amy na nataka kujufunza na kuzoea juu ya Kiswahili. Nimekuwa nilisome tangu miaka mitatu juu au chini na, tafadhali, semahani kwa makosa mwengu. Asante...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jambo! Mimi ni mgeni naomba ushirikiano wenu na mimi nitashirikiana na nyie.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa msomaji hapa for a long time without registration.sasa nimeamua tu kujisajili.Kuna members humu nawafahamu pomoja na kujificha kwao Tukutane stejini
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani wanajamii hodiii.... Nimefuatilia kwa muda mrefu habari na mijadala mbalimbali katika mtandao huu na kunufaika kwa kiasi kikubwa sana. Sasa nimejiunga rasmi. Hodi tena wanajamii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni hata kimkeka nikae kitako humu!!!!!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
i am here wanajamii
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salamu kwa wote! Kwa mara ya kwanza natia timu ndani ya JF tutawasiliana kwa sana tu!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
niaje naingia ulingoni wenyeji mpo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
DEAR, JF members i thank God for joining this mavalous network. We will continue to move together!! cheers!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni nafisi ya kujivunia kwa wasaa huu wa kubadilishana hulka na kujenga mshikamano thabiti. awali ya yote heshima kwenu nyinyi wana jamii. panapomajariwa tutalisongesha gurudumu hili kwa umoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi , As I was going through this forum , I found it sueful and really beneficial for our Tanzania society. Big up for this.One quick question Why cant the leaders of this country...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Life is short. While you are wasting it today, you ill realize you are at the end of it tomorrow. So the earlier you start to treasure your life, the earlier you can enjoy it, Instead of hoping...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dear Jamii Forumers, I hope nyote hamjambo. Napenda kujitambulisha kama ifuatavyo: JINA (Katika JF): JUANITA UMRI: ADULT JINSIA: MWANAUME URAIA...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nipokeeni JF,Nipo chini ya miguu yenu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naitwa Diana lakini mtaani kwetu huku Mburuhati wananiita diana-dabodiff, nafurahi kujiunga hapa.
1 Reactions
90 Replies
11K Views
Nabisha hodi humu ndani nikiomba ukaribisho.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello the Great thinkers, I am new by registration but I' ve been following the issues in this forum for the past three years. Big up to you all, together we will make it. Inkoskazi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ndugu wapendwa, nimefurahi kujiunga nanyi successfully. asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi wenyeji. Nami najiunga huku kwa JF.I hope to gain a lot.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…