Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello all the Jamii Forums members. I have just joined the forum and would like to say hello to you all. Multvilla
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Salaam wanaJF, napenda kupiga hodi kwa jamvi hili maridadi la wanaharakati!!!! Ujumbe: “Sasa tunataka mtu anayetaka kuwa rais wetu ajiulize anataka kuifanyia nini nchi yetu na sio nchi yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekuwa nikishiriki katika JF kama guest. Leo nimeingia rasmi. Tushirikiane
0 Reactions
6 Replies
1K Views
yalaaaaaaaahhh!!! Huyu kanchunguliaaaaaaa.. Mbele hi hi nyuma hi hi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi wana JF Habari humu jamvini! mimi ndiyo kwanza nimejiunga humu ndani. Naomba ushirikiano wenu na ushauri inapobidi. Asanteni sana
0 Reactions
27 Replies
4K Views
hi there!!this is first time to appear on this forum,and jamii it seems to be of helpfully to me since i get chance to air my openion on matters regarding us.i have alot to say but since this is...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze! nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi Guys, This is Vuvu-Zela saying hi to you. I am pleased and honoured to be here hope to learn lots of staffs from you guys. Good Morning
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hodi! Mimi sio mgeni saaana hapa jamvini, ila nimechoka kukaa pembeni nikaamua kuwa mwanachama hai. Nimesoma posts zenu na kuona wingi wa busara na hekina zilizomo hapa, nawapa BIG UP wote walio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuwa mtazamaji kwa kipindi kirefu kidogo, nimeona muda wa kubaki kama mtazamaji umetosha sasa. Nimeamua kujongea jamvini hapa JF ili niweze kushiriki vema mijadala mbalimbali nanyi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajf niliwamiss sana baada ya kuwa tanganyika kwa mwezi hivi nikiwa na kazi ya kuvuta jiko huko ta, sasa niko Tanzania ndio maana niko hewani. Nimekosa mambo kibao ila tuko pamoja sasa. Siku njema
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejiunga na JF kimsingi napenda sana kuchat pia kushauri. Nimatumaini yangu kuwa tutashirikiana vizuri. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Wanajamii Mpo? Mpo ndio. Nami nimechoka kuambulia kiduchu katika anga za jamii forum na nimeonelea bora nijiunge kikamilifu na leo najitambulisha.
0 Reactions
1 Replies
881 Views
jamani hamjambo humu,mm ni mgeni lakini naona kuna mistari mikali kweli.Tuko pamoja lakini lazima ni face challenges.
0 Reactions
2 Replies
978 Views
naomba kuwa mmojawapo wa wanachama katika hili jamvi lenu!!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Nawasalimuni nyote kwa jina la tanzania. Nimefika hapa leo. Hodi jamani, wenyeji mpo humo ndani. Niko mlangoni nabisha naomba mnifungulie mlango nipate kuingia. Kila heri
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba mnipokee.Nimekuwa nasoma kwa muda mrefu naona sasa umefika wakti nami niwe mwanachama. Asanteni sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wenzangu wa JF. Naitwa Gabriel, natoka Marekani. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu huko Marekani lakini niko TZ siku hizi. Nimejitolea kama mwalimu, lakini kwa sasa najaribu kutengeneza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawapenda wote!nikaribisheni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajameni mie ndiyo nimeshaingia humu! Haya naombeni sera na maelekezo muhimu...wapi nisiguse na wapi stahili yangu??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom