Hodi: Nimerudi tena

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Wanajf niliwamiss sana baada ya kuwa tanganyika kwa mwezi hivi nikiwa na kazi ya kuvuta jiko huko ta, sasa niko Tanzania ndio maana niko hewani. Nimekosa mambo kibao ila tuko pamoja sasa. Siku njema
 
Hongera sana mkuu. Karibu tena na tafadhali usikose kumleta na shemeji hapa jukwaani na yeye tupate mchango wake
 
Wanajf niliwamiss sana baada ya kuwa tanganyika kwa mwezi hivi nikiwa na kazi ya kuvuta jiko huko ta, sasa niko Tanzania ndio maana niko hewani. Nimekosa mambo kibao ila tuko pamoja sasa. Siku njema
Karibu sana mkuu, lakini mbona umevuta jiko kimyakimya bila kututaarifu wadau? Hongera sana!
 
Hongera sana mkuu,ila isije ikawa nguvu ya soda maana Ramadhani ipo karibu ikiisha na mke anarudi kwao.
 
Back
Top Bottom