hodi hodi wanaJF!

williebk

New Member
Feb 7, 2009
2
0
Salaam wanaJF, napenda kupiga hodi kwa jamvi hili maridadi la wanaharakati!!!!
Ujumbe:
“Sasa tunataka mtu anayetaka kuwa rais wetu ajiulize anataka kuifanyia nini nchi yetu na sio nchi yetu itamfanyia nini, tunataka kila mtu ajiulize, kila mmbunge mgombea wa chama chochote, kwa dhati kabisa kwamba anaumwa na umasikini wetu na umasikini huo ndio unaomsukuma ajishughulishe na mambo haya ya siasa katika ngazi hiyo, ama ya ubunge au urais, kama sivyo hatufai……Mtu anayetaka kwenda Ikulu kupata faida yoyote hatufai KABISA”. Marehemu Mlw. JK Nyerere akihutubia siku ya wafanyakazi- sokoine Mbeya, 1.5.1995

Haya uchaguzi ndo huooo umewadia tutumie vizuri kura zetu!
 
Back
Top Bottom