Salaams wandugu wakubwa kwa wadogo naomba nami nijitambulishe kama member mpya jinsia yangu ni mwanababa na nipo nje ya nchi kwa kipindi kidogo natumai tutashirikiana na wakati mwingine kupishana...
wadau wote wa jamii forum nawsabahi, assalam aleykum jamia. Kwa mara ya kwanzaa ndani ya jf, namiksi sana na jk. Tutakutana kundini katika kuendeleza mawazo mshazari na yenye kutandawaa katika...