hi there!

Babu Anganga

Senior Member
Jun 13, 2009
169
104
Poleni na majukumu ya everydy, mi nlijiunga last yr but unfortntly nikapata safari ya kwenda somwhr wher there's no communication. So would u p'se Karibu me.
 
Acha mbwembwe wapi hapo hakuna mawasiliano??hukwenda mjini hata siku moja mbona hukutuaga??:hand:
 
Poleni na majukumu ya everydy, mi nlijiunga last yr but unfortntly nikapata safari ya kwenda somwhr wher there's no communication. So would u p'se Karibu me.

Karibu Mkuu wangu najua Jk ndo Rais wetu Jk ndo mshindi
 
Acha niwe muwazi, kakiiza mi nlikuwa jandoni, kwani jandoni wanaruhusu mawasiliano!
 
Acha niwe muwazi, kakiiza mi nlikuwa jandoni, kwani jandoni wanaruhusu mawasiliano!
Karibu sana, hasa jukwaa la mahusiano na mapenzi ili elimu uliyopata huko uwamegee na wengine!
 
Back
Top Bottom