Naomba kukaribia jamvini waungwana.

Naomba kukaribia jamvini waungwana.

BLISS

Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
54
Reaction score
13
habari zenu waungwana, na mimi pia imenipendeza kuketi jamvini kubadilishana mawili au matatu, nawaombaa mnipokee jamani tujaribu kubanana jamvini.

Asanteni mungu wabariki wote
 
yaan hapa tayari umeshakaribia keti hapo kwenye mkeka. utakunywa kinywaji gani..:ranger:
 
karibu sana mkuu,jamvi hili kubwa sana kwahiyo wala usipate hofu ya kubanwa banwa.
 
Back
Top Bottom