Nimebadili Avatar

Hivi mbona watu mnajali sana haya mambo ya avatar...
Kwani ni muhimu?
 
Hivi mbona watu mnajali sana haya mambo ya avatar...&lt;br /&gt;<br />
Kwani ni muhimu?
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
<br />
Ni muhimu Husninyo, si 'unaonaga' jinsi watu wanavyodata kwa avatar za watu, mpaka wengine wanaanzisha thread na kutungiana mashairi jamvini
 
Wale waliosema akili za mtu zinaendana na avatar zao duh Sasa Mtu ndio anaamua kuchange mh! sasa hiyo chinni nadhani itapendwa na watu wengi
 
Hivi mbona watu mnajali sana haya mambo ya avatar...
Kwani ni muhimu?
Muhimu sana Husninyo
hongera sana kwa kubadili Avatar
Asante chatu dume
Nimependa ya chinni...
Shukran afrodenzi
Wale waliosema akili za mtu zinaendana na avatar zao duh Sasa Mtu ndio anaamua kuchange mh! sasa hiyo chinni nadhani itapendwa na watu wengi
huenda ni kweli RaisiWaPemba
mkuu hii mpya inalipa
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom