Hellow wadau

Muce

Senior Member
Dec 19, 2011
116
14
Heshima kwenu wanajamvi, hongereni sana kwa kulijenga taifa letu hili la mafisadi kwa mawazo yenu mazuri na kutufunza mambo mengi. nimekuwa nikitumia jamvi hili kupata habari kwa kina, hivyo na mm nimevutiwa sana kuwa member, hivyo basi naomba mnitambue kuwa mm bado learner katika uwanja huu. naombeni ushirikiano wenu.<br>nawakilisha
 
Karibu sana JF. Tutashirikiana nawe bega kwa bega kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom