Wandugu naingia jamvini
Bilashaka nitauwa mzalendo vya kutosha
kuchangia au ku post topic za faida kwa taifa letu.
Tuwe pamoja.
TANZANIA TUITAKAYO INAWEZEKANA.
I would like to congratulate JF, really ur in the next level. iPhone application totally awesome! I am proud to B a Tanzanian. Keep up the good work I do appreciate the work done.
naitwa Mgaya D.W,mwanajf mgeni wenu.nimechagua jf kuwa darasa na mwalimu wangu.nimewachagua wanajf kuwa walimu na viongozi wangu ktk kujadili,kudadisi,kuibua,kutafakari na hata kutafiti mambo...
Umeme wa Tanesco haupiti ktk kanisa la FGBF chini ya kiongozi wake Ask. Kakobe. Kama gazeti moja lilivyoripoti leo kwa kichwa 'KAKOBE AFANYA KWELI'
:Ule umeme wa 132kv uliolazimishwa kupita...
Nimekuwa nikisoma taarifa zenu mbali mbali kwa kutumia phone.Sasa nimejua jinsi ya kutuma thread mbalimbali,kuchangia,kupm.nk.Nikosea namba mnikosoe kwani naamini nyie ni watu muhimu kwangu