Doctor D.naingia mjengoni taaaratibu kama hivii.....

Dr.don

Member
Jan 16, 2012
8
1
Si humu waga kuna wagojwa basi daktari nipo don't worry Jf guys.Mnanikaribisha lakini?
 
Si humu waga kuna wagojwa basi daktari nipo don't worry Jf guys.Mnanikaribisha lakini?

Ulipata kujifundisha lugha ya kiswahili shuleni?..hilo neno lina maana gani/...nisaidie hapo tu kwanza kabla sijakukaribisha!
 
Tupo brother! Jisikie upo bungeni afu we ndo spika full kumwaga sera njema hapa Jf.welcom.
 
karibu sana ila hutapokelewa kihivyo kwa kuwa tunaomboleza msiba wa memba mwenzetu...
 
Ulipata kujifundisha lugha ya kiswahili shuleni?..hilo neno lina maana gani/...nisaidie hapo tu kwanza kabla sijakukaribisha!
shame upon you Even guests you want to make a nonsense Discussion! Sure ur PAKAjimmy.
 
Mhhh dr wa nini wewe
isije ikawa wa mitishamba au wa kupewa kama nanihiii
Au Dr wa kupulizia
hata hivyo karibu sana aise
japo tuna machungu sana ya kumpoteza mwenzetu
 
Mhhh dr wa nini wewe
isije ikawa wa mitishamba au wa kupewa kama nanihiii
Au Dr wa kupulizia
hata hivyo karibu sana aise
japo tuna machungu sana ya kumpoteza mwenzetu

See na ww ka pakaJ ye kasema Dr. Means wa watu hos. Ka sio hivo si angesema.Shy on ur face!
 
Si humu waga kuna wagojwa basi daktari nipo don't worry Jf guys.Mnanikaribisha lakini?

Karibu daktari!

Ila ukishindwa kututhibitishia udaktari wako itakuwa kosa (tunaliita "name calling" hapa ukumbini). Ban itakuhusu. Nakutania daktari, usiogope!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom