Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Niite kipara mauzi
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sio mgeni but account ilifungwa sijui kwanini....here I am as Olivia Pope!!Feels good to be back!!!
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya. Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa. Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu.. nimekua nikiperuzi kwa muda mrefu lakini sikuwa nimejiregister. Nimeingia sasa kwa miguu yote. Nimenishawishi sana watu mnajua vitu mpaka basi aisee. Amebarikiwa Preta...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
wenyeji wote habari zenu ,mimi ni mgeni katika nyumba hii ila hapo mwanzo nilikuwa nikipita nje na kuisoma tu, lkn nimevutiwa na vilivyomo ndani yake naomba mnipokee aksanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello dears humu ndani, Naombeni mnipokee member mpya
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi mgeni naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
33 Replies
3K Views
wana JF naomba mnipokee.. nitakuwa member mtiifu na mwadilifu.. uwii, ila mie ni "male"
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mko poa
1 Reactions
33 Replies
2K Views
[emoji102]
3 Reactions
21 Replies
2K Views
:rolleyes::rolleyes:
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Iam very glad to join in this group. I fill proud for sure. But the most thing I expect from is cooperation. We are togather
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hodi Humu[emoji15] [emoji15]
0 Reactions
7 Replies
782 Views
Je Itawezekana????
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Hodi humu ndani "Great thinkers". Mimi ni member mpya. Naomba kupokelewa
0 Reactions
7 Replies
790 Views
Habari wana jamii Natafuta kiwanja kiwe njia ya bagamoyo sehemu nyingine pia ni sawa ila Chaguo la kwanza ni bagamoyo road. Natumaini kupata ushirikiano wa dhati. Asante..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi... Ni member mpya JF. more and more later in topics... thanks home of great thinkers
0 Reactions
2 Replies
647 Views
Habari wanajamiii nataka kununua hisa kwenye kampuni nzuri inayo kua kwa kasi ili nipate faida zaidi je ni ipi hiyo...Asante...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
wanabodi,naomba kupokelewa jf
0 Reactions
7 Replies
836 Views
Back
Top Bottom