Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
2 Reactions
8 Replies
927 Views
Hii Tanzania ni nchi nzuri sana aisee, kigezo cha kuwa dereva wa mbunge au waziri ni uwe na cheti cha form 4 haijalishi wewe ni kilaza au lah! lakini kigezo cha kuwa mbunge ni uwe na umri kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Humu ndani kuna watu wanatusaidia kufikiria mpka unatamani uwalipe!.. Nimejileta mwenyewe waungwana!.
0 Reactions
5 Replies
870 Views
0 Reactions
3 Replies
761 Views
Nimeamua na mimi kujiunga na wana JF baad ya kuwa muangaliaj kwa mda mrefu...naomben ushirikiano wenu
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Nataka kutengeneza akount yenye jina langu halisi... na acount iwe verified nafanyaje
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Habar zen mgeni miye[emoji85] [emoji85] [emoji85]
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za masiku wana jamii, kitambo sana Niko nje ya ulimwengu wa smartphone but now tuko pamoja....Amani kwenu
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Hodii
0 Reactions
2 Replies
518 Views
Jaman mgeni humu ndani nimevutiwa kujiunga jamii forum baada ya mwez sasa kudownload application Na kuona maada changanuzi mawazo ushauri unaotoka humu ndani ni msaaada tosha #mrxaid
1 Reactions
3 Replies
791 Views
Mgeni mwenyeji
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Hi
Habar wana jf
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Ushirikiano wenu muhimu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimerud tena
0 Reactions
5 Replies
920 Views
Mimi mgeni, naombeni mnikaribishe najua kuzuri humu, nimekua nkipitia comment za watu na kucheka sana so i hope nta furahi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni jf Lakini tangu nijiunge jf Napata faraja sana Maana jf imebeba mambo mengi sana Napata elimu ya bure kupitia jf Hongereni sana Members wote mliomo humu Hongereni uongozi wa...
1 Reactions
8 Replies
955 Views
Habari wanajamii forum
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kweli jf patam nilikuwa naskia tu ukiwa na stress ingia jf unadukuduku ingia jf, na kweli majibu ya maswali mengi kama si yote nayaona humu. Nipokeeni tuendelee kufurahia maisha aksanteni
1 Reactions
3 Replies
700 Views
Hellow nimekuja kupanuka kifikra naimani tutashirikiana vyema wadau wote,pamoja tunaweza.
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Hellow wana JF kwa mara ya kwanza nafika pande hizi jaman naomba tuwe pamoja
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom