Sukuma mlango upo wazi... Welcom home RX!!
Fungua fridge ujichukulia na mezani hapo kuna B/fast...!!Asante nimeshaingia
How?Katoka tatty umeingia wewe karibu ila usikubali mtu akupm trouble ahead!
Bahati mbaya mwenye uzoefu na majanga ya private messages tatty amequit jf labda tafuta post zake kama ziko kwenye saver za jf then u will get the picture angalau upate mwanga.How?