Mgeni

Karibu jf,hivi mwalimu kwanini hutaki cheo,ama una kashfa ya kugegeda watoto wetu...
Kazi yangu kufundisha kipindi changu kwenye kidato husika,hayo majukumu mengine yatanipotezea muda bila malipo
 
Nina mashaka na ufanisi wako kazini.
Hutambui kuwa kuna majukumu mengine zaidi ya kufundisha?
All the same karibu mwalimu
Hakuna mwalimu anayekomaa na majukumu mengine zaidi ya kufundisha kipindi chake labda kama hana akili timamu
 
Walimu ni wito mzee kama ilivyo kazi ya upadri,usipo kuwa na wito kazi ya uwalimu haikufai usije tuharibia vijana wetu tafuta kazi nyingine,hasa ukijuwa maana ya wito...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom