Halidi Haji
Member
- Jan 20, 2017
- 53
- 18
Nimgeni humu ila naupenda huu mtandao naomba ushirikiano weno
yesOwk,voda hapo karbu na keep left sio? BA's karbu jombaaa huku zipo chaliii zote yan
asanteKaribu sana,sheik khalid,jisikie nyumbani,jf ni kwa watu wote kuwa huru
asanteKaribu sana
NaniNaona umetupa nyavu... Unasubiri kuvua kambale
Na ndoa tayarUmeshapata mchumba uliyekuwa unatafuta?
Karibu sana Mr. Khalid pia niliona uzi wako wa kutafuta patner ukimpata uje utupe mrejeshoKarib sana Mr.khalid...
asante sanaKaribu sana mkuu
me sio msomi sana labda unijibie au nkupe mjiEti upo Voda,ndy utambulisho au?
tupe evidence mkuuNa ndoa tayar