A alaykum kwa waislam wote humu, wakristo tumsifu Yesu kristo,
Mimi ni mgeni humu JamiiForums naombeni kukaribishwa kwa bashasha zote.
Nimevutiwa sana na changamoto za humu mpaka zimenicomvice...
kama kichwa kilivo hapo juu nafurahishwa sana na open discussion ya mswala mengi ndani na njee ya nchi hii kutoka kwa genuine people of jf........jaman nagonga hodiiiiii....!!!
Sent using Jamii...
I dont recall kama.nlishawahi kupost uzi humu wa utambulisho, teh teh... nevertheless though naomba mnipokee wakuu. Wazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kama muungwana nawasalimu! Wakubwa shikamooni na wadogo marahaba!
Mimi kama jina langu linavoonesha ni mwanamke, si msomi sana ila nimepitapita skuli japo mambo hayakuwa mazurii kivile ila...
Tumsifu Yesu kristo, asalam alyekum. Mimi ni mgeni hapa baada ya kuuliza sana hatimae nikaelekezwa kuna sehem kama hii ya kujadili mawili matatu. Minipokeeni na kunielekeza pale nnapotoka nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.