Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Je, wajua kuhusu marashi, pafyume, uturi na manukato? MARASHI ni vitu vyenye manukato vinavotumika kuandaa perfume km vile maua, matunda, majani nk. PERFUME ni kimiminika kilichoandaliwa...
5 Reactions
20 Replies
28K Views
Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu? Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Redirect
Kuna website wananiletea mishono kila siku. Kama mnapenda nikiwa na muda ni takes ninawaletea angalau mara moja kwa wiki. Ninasubiri jibu lenu.
0 Reactions
Replies
Views
Nawasalimu wanajamvi wote! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, Mimi ni jinsia KE na kuna kitu kimoja kinachonitatiza kuhusu ngozi yangu tangu nimeanza kujitambua katika kukua kwangu...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za mchana huu wakuu?.. njooni mtoe maoni kuhusu hii kasumba mbona wanawake wasikuizi wakivaa nguo vyupi au makufuli yanaonekana au yanajichora? hii kitu ni sahihi na je mbona Enzi hizo...
4 Reactions
74 Replies
15K Views
Leo nimegundua napenda sana mwanaume akivaa kanzu. Kanzu ina usexiness fulani hivi sijui kwa sababu asili yangu ni Pwani. Kanzu nyeupee halafu awe ananukiaaaaa...na makobazi fulani. Huwa...
12 Reactions
85 Replies
16K Views
Habari wakuu, Ninaomba msaada kwa mwenye uelewa wa cream nzuri(isiyochubua please)kuondoa tatizo la chunusi usoni kwangu. Nimeshatumia vitu vingi Lakini baada ya muda tatizo hurudi.Ninaomba...
1 Reactions
81 Replies
64K Views
  • Redirect
Wakuu habari Naomba kuuliza perfumes gani nzuri za kiume, ambazo zinanukia vizuri na kukuacha ukinukia kwa mda mrefu? Asanteni Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wakuu. Mara baada ya salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Binti moja mzuri sana kiumbo na kisura lakini huyu binti amefuga kucha ana kucha ndefu kweli kweli mpaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo...
1 Reactions
316 Replies
56K Views
Habari zenu wandugu, Naomba kufahamu ama kujuzwa kama kuna mahusiano kati ya kuharibika kwa ngozi na unywaji wa pombe kali/bia? Na kama ipo ni kwanini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumezoea kuona wale vijana wakipita majumbani kukata kucha za wanawake, kubandika kucha bandia pamoja na kuwapaka rangi. Binafsi tabiaa hii siipendi na hata wife nilimpiga marufuku kama anataka...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Ni mafuta gani yanayo faa kwa mtu nwenye ngozi isiyo kuwa na mafuta yaani ngozi kavu?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hivi ni msanii gani anaweza pendeza kuvaa miwani hapa Tz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Akina dada mtakuwa na majibu sawia. Nataka kumpa mtu zawad ya kitenge kizur na cha class A. Akashone nguo. Sijui nakitambuaje au nakipataje kitenge kizur sana dar. Sina mgogoro wa bei bali...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Haya mafuta achaneni kabisaah Unakua na ngozi nzuri hususan usoni na kila mahali ila white dots kwenye mikono au miguuni havitokuacha salama Wengine hadi michirizi imewaletea....hii ni hatari...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
  • Redirect
MTU na hasa mwanamke anayetambua umuhimu wa mwonekano mzuri hutamani kuwa na nywele nzuri za kutosha na zenye afya yake ya asili. Tatizo la kupotea kwa nywele au upara (wengine hupenda hali hii)...
2 Reactions
Replies
Views
Kuvaa pia nakupendeza ni vitu ambavyo ni tofauti ila ni lazima ujue kwanza physical body structure yako na ni aina gani ya nguo zinaendana na body yako. For Instance Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom