Ni mafuta gani mazuri yanafaa kwa ngozi kavu?

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,124
Ni mafuta gani yanayo faa kwa mtu nwenye ngozi isiyo kuwa na mafuta yaani ngozi kavu?
 
Tumia mafuta ya nazi mnara, ni mafuta bora sana ya kitanzania chupa elfu2 tuu
Shukurani mkuu alafu nilisahau kuweka jinsia yangu mm ni wakiume bado yatakuwa yananifaa?
 
Back
Top Bottom