Sijawahi kupendeza nikivaa nguo

Wewe unafanya mazoezi? Kama hufahamu mazoezi ya kujenga mwili yatakufanya uonekane physically strong hata ukivaa nguo itakukaa vizuri tu.

Fanya cardio training, kuimarisha tumbo, mapaja, mikono nk.

Pia kama alivyoshauri mdau hapo juu nenda shopping na rafiki yako inawezekana hujui kuchagua nguo inayokukaa poa.

Hope this help
 
Kuwa mbunifu kama hawa jamaa

1470334248057.jpg
 
Wewe unafanya mazoezi? Kama hufahamu mazoezi ya kujenga mwili yatakufanya uonekane physically strong hata ukivaa nguo itakukaa vizuri tu.

Fanya cardio training, kuimarisha tumbo, mapaja, mikono nk.

Pia kama alivyoshauri mdau hapo juu nenda shopping na rafiki yako inawezekana hujui kuchagua nguo inayokukaa poa.

Hope this help

Kheri yako umenipa ushuri MZURI"
ss wacha nitafute gm ilipo.
 
Jaribu ovaroli na safety boot na helmet af zama club juu usisahau reflector uone kama madem kibao wanavokufuata na kukuomba ukae nao mana reflector itakufanya ung'ae kinoma.

Duh...!!!
 
hahahaha mkuu hata wote humu watupe pesa sawa tukachague mikato tupo tutakao rudi na midabwada, mpo mtakao kuja na nguo kali ila hampendezi

jaribu kuchomekea
 
Back
Top Bottom