RANGI- TOBBACONaomben rang inayofaa kupaka kwenye jua Kali sana
RANGI TOBBACO TOKA SADOLINHabari za majukumu wana jf. Kama title inavojieleza, naombeni ushauri wenu kuhusu rangi nzuri za kupaka milango na madirisha ya nyumba. Natanguliza shukrani kwenu.