Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
kumekua na ongezeko sana la kinadada kuvaa vikuku mguuni kama leo nimeenda kunyoa saloo X katika mkoa wa iringa nikakuta mdada kavaa skert zakubana zile wanazovaa hasa wanavyuo hajavaa kufuri...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu...
8 Reactions
188 Replies
12K Views
Naomba kujua vyakula vinavosaidia makalio kuwa laini, pamoja na ngozi yake kuwa nyororo
0 Reactions
46 Replies
20K Views
Daaaah! Nipo kwenye gari hapa natoka mkoa nakuja Dar es salaam hili bus ni full kiyoyozi na madirisha yamefungwa Ghafla namvuta hewa nzito sana ya kipodozi,baada ya kufuatilia ile harufu inatoka...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wakuu,naomba mnijuze kama kuna athari yoyote ya kupaka usoni majimaji ya mmea wa alovera. Pia naomba mnijuze kama kuna faida ya kupaka majimaji hayo.Nasubiri mawazo yenu , asanteni.
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Hakuna cha mzuqa, Utakuta ni warembo tu with a fat gene lakini wanajikongoroa miili yao kwa kutokula ama kushinda na apple na maji ili wamaintain kukongoroka wenyewe wakidhani ni warembo kumbe...
8 Reactions
46 Replies
12K Views
Hii ni tahadhari kwa wanaume. Inasemekana kuwa vipodozi vya kujichubua wanaotumia wanaume kama clairmen, Dodo etc vinapunguza nguvu za kiume hadi kuwa gunia la kunde kabisa! NB: Msiseme hamjaambiwa!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu! Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni...
3 Reactions
194 Replies
11K Views
Liberia’s Finance Minister bans employees with ‘unnatural’ hair Liberian Finance Ministry: No Natural Hair, No Work The Ministry of Finance in Liberia has directed its security guards to...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Miaka ya karibuni kumekuwa na tabia ya wanaume wengi wa Dar kujichubua na kusingizia kuwa wanakuwa weupe kwa sababu Dar kuna joto la kung'arisha(kiuhalisia sio kweli)na wengine wameenda mbali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba mnisaidie kuziboresha nywele zangu pia zikue haraka maana ni zakipilipili hata nisuke miaka miwili nywele siwezi kubana. Naomba mnisaidie
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Black Hair Products Making Our Women Sick Black hair products are responsible for the explosion of cancer, fibroids and other health complications among black women. Studies are confirming that...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati anaingia Mh.Rais alikuwa anavaa oversize suti zake,lakini siku hizi anavaa size yake.
5 Reactions
40 Replies
9K Views
Wadau, Ningependa kujua mwenye ujuzi juu ya hizi zuria za ndani za manyoya (center carpets) imechafuka sana nahitaji kuisafisha, natumia njia gani??
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Asalaam Kwa mliowahi kutumia na mnaotumia mafuta ya rapid clair,white express na queen elisabeth naombeni mnipe feedback,na matokeo mmeanza kuona baada ya mda gan wa matumizi?
0 Reactions
110 Replies
39K Views
Habari Jf,kama kichwa cha habari kinavyo jieleza na taka kujua tiba yake na mafuta yapi ni mazuri kutumia kwa ngozi zilizo mix(mafuta&kavu) kwa sasa na tumia cleare cocoabutter ila naona ina ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kabla ya kuziangalia hizi hatua 10 za kuanzisha bustani yako nyumbani ni vyema tukaweza kujua umuhimu wa bustani ya nyumbani. Baadhi ya umuhimu wa bustani ya nyumbani ni pamoja na: 1. Kupata...
5 Reactions
18 Replies
30K Views
Mamboz, Jamani kama mnakumbuka nilikua natafuta mchumba na hali yangu niliyonayo, wengi walijitokeza wakidhani natania labda, walihisi mimi ni mzuri sana ila natania. Kusema ukweli nipo kama...
13 Reactions
167 Replies
18K Views
Top 25 Most Beautiful African Women in 2018 With marble-like skin and bold features, women from Africa have always had a unique charm. Most of these women have strong, able bodies and features...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom