Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Orodha ni ndefu lakini si vibaya mkaongezea, ila mie naanza na hawa hapa! 1a. Ummy Mwalimu 1b. Angela Kairuki 2a. Mary Nagu 2b. Jenister Mhagama 3. Zhakia Meghji 4. Shamsa Mwangunga 5. Salome...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Umofia kwenu! Kuna mavazi ambayo yamezoeleka kuvaliwa misibani au kwenye mikusanyiko yeyote ile iwe harusi au sherehe zingine! Binafsi nahitaji kuelezwa au kujuzwa kama huwa ni fashion au ni...
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Kumekuwa na tabia ambayo inakuja kwa kasi sana zama hzi inawahusu nyie wanawake wajawazito. Sijui kama nitakuwa nakosea ila kwa utamaduni wetu wa kiafrica haipendezi kwakweli. Wanawake sikuhz...
3 Reactions
125 Replies
10K Views
Wakuu, Hivi kwanini wanawake wa kiafrika wanapenda sana kujichubua wawe weupe kama wazungu? Je tatizo nini hapa? Hawajihamini,maendeleo au ulimbukeni?
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Tuache ushamba aisee. Puliza pafyumu au body spray inayokufaa wewe wewe peke yako within your own perimeters aisee. Inakera sana. Uzi tayari.
12 Reactions
86 Replies
10K Views
Mazoezi yapi yanaweza kubadili mwonekano WA umbo lako hasa kwenye kifua,tumbo na mikono. Bila kwenda gym maana nipo mbali na mji........
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Wakuu, Hivi huu mtindo wa nywele kwenye ofisi unakubalika? Hasa hizi ofisi za kuajiriwa.
3 Reactions
45 Replies
10K Views
  • Redirect
Kuna watu wananuka midomo jamani, nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo, kidogo nimuulize oyaa hupigagi mswaki. Yaani alikua akipumua mpaka...
17 Reactions
Replies
Views
Mavazi mengi tumeiga. Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani. Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles. Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi. Nimefuatilia sioni...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Hivi unajua kuwa unaweza kuwa mrembo kwa kutumia vitu vya asili tu?. Ndio inawezekana!. Wengi wetu tumekariri kwamba, ili uwe mrembo na mwenye muonekano wa kuvutia machoni pa watu, basi ni lazima...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Kujiandaa kwa ujio wa mtoto ni kuna changamoto zake. Mtoto ni vema akawa na chumba chake ili kumjengea hali ya kujitegemea akiwa angali mdogo na pia kurahisisha uhifadhi wa vitu vyake bila...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Jmn wapendwa habr, mm ni msichana nilikuwa mwembamba b4 ila siku izi nimeanza kunenepa cha ajabu tumbo linakuwa kubwa nguo hazinipendez yan naona kero, msaada nifanyaje ili niiepuke hii hali jmn
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Hakuna shaka kwamba sasa kuna ongezeko kubwa la matangazo ya dawa za kurekebisha maumbile, hasa za kuongeza ukubwa wa makalio, maziwa ya mwanamke na nyonga. Mitandao ya kijamii...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Niko Mwanza kwa shughuli ya kutafuta rizk kwa wiki ya pili sasa. Kama ilivyo kawaida yangu kugeuka geuka pindi mwanamke mwenye chura akipita ili angalau nipige 'paper two'. Kwa kweli kwa sasa...
11 Reactions
59 Replies
10K Views
Wakuu, Nimekuwa nikikutana na hiki kitu kinaitwa Shower gel/body wash kwenye maduka ya vipodozi,nini kazi yake na ina tofauti gani na sabuni ya kawaida ya kuogea? Na Je jinsia yoyote wanaweza...
2 Reactions
15 Replies
10K Views
Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua...
8 Reactions
146 Replies
10K Views
Jamani wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani...
1 Reactions
59 Replies
10K Views
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule. Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge...
17 Reactions
58 Replies
10K Views
Husika na maada,ukiangalia ni thread zangu nyingi katika jukwaa hili lilikua linauliza au kuzungumzia maswala yachunusi. Nilishauliwa mengi sana,,kwanza nilitumia (magadi soda) hii ilianza...
5 Reactions
33 Replies
10K Views
Hapo vip!! Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Back
Top Bottom