Msaada: Naomba kujulishwa Mazoezi gani mazuri bila kuenda Gym

B

bugimbi

Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
20
Likes
4
Points
5
B

bugimbi

Member
Joined Oct 1, 2017
20 4 5
Mazoezi yapi yanaweza kubadili mwonekano WA umbo lako hasa kwenye kifua,tumbo na mikono.

Bila kwenda gym maana nipo mbali na mji........
 
PrincessAnne

PrincessAnne

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Messages
1,934
Likes
2,168
Points
280
PrincessAnne

PrincessAnne

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2017
1,934 2,168 280
Wee ni ke au me?
Ingia youtube utayapata
 
L

luhuye

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Messages
295
Likes
232
Points
60
L

luhuye

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2017
295 232 60
Pusha up asubuhi piga 50 jioni 50 hapa unatanua kifua na kujaza mikono kumbuka kukata tumbo
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,772
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,772 280
Mbona kidogo sana hizi? Watu tunaenda 200 set 4, 50*4.
Duh hongera zako kiongoziIla nyinyi watu wa mazoez mnakera sehem moja tu yaani sionagi faida yenu hata kidogo coz mnaweza kumuona mtu kavamiwa na mateja(anakabwa) halaf chakushangaza bila mshipa wa aibu hamuendi kutoa msaada

Kama vipi ni bora muaache tu coz hayo mapushap yenu hayana msaada kwa jamii
 
Roman Empire

Roman Empire

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
374
Likes
739
Points
180
Age
32
Roman Empire

Roman Empire

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
374 739 180
Mazoezi yapi yanaweza kubadili mwonekano WA umbo lako hasa kwenye kifua,tumbo na mikono.

Bila kwenda gym maana nipo mbali na mji........
Mm mkuu nilianza kulea kitambi faster nikakishusha kwa kukimbia ninazunguka uwanja Mpira wa mtaani round 20 kwa dakika 25 hadi 30.. Baada YA hapo nafanya mazoezi YA viungo kuna zoezi moja la kukata kitambi uwa tunaliita kukaa kwenye kochi zuri Sana... Unakaa chini unabana punzi unanyoosha miguu alafu unainanyua juuu kama futi moja unahesabu kwa kadri YA punzi yakooo... Hapo kitambi kwaheriiii
 
B

bugimbi

Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
20
Likes
4
Points
5
B

bugimbi

Member
Joined Oct 1, 2017
20 4 5
Mm mkuu nilianza kulea kitambi faster nikakishusha kwa kukimbia ninazunguka uwanja Mpira wa mtaani round 20 kwa dakika 25 hadi 30.. Baada YA hapo nafanya mazoezi YA viungo kuna zoezi moja la kukata kitambi uwa tunaliita kukaa kwenye kochi zuri Sana... Unakaa chini unabana punzi unanyoosha miguu alafu unainanyua juuu kama futi moja unahesabu kwa kadri YA punzi yakooo... Hapo kitambi kwaheriiii
Asante mkuu
 
Mirlz B Matthew

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Messages
943
Likes
968
Points
180
Mirlz B Matthew

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2011
943 968 180
Mcheki Castr ana thread mbalimbali za mazoezi!...
 
Y

YABUUU

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Messages
1,407
Likes
1,213
Points
280
Y

YABUUU

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2015
1,407 1,213 280
Squshing na pshup tosha sana, unapga pshup 20 then squshing 20 ukienda round 3 au 5 daily n vzur.
 
Forum statistics

Threads 1,235,265
Members 474,471
Posts 29,216,167